maisha magic bongo logo

Munir Aongea na Balui Baada ya Kutoka Hospital – JIVU

Video15 Novemba

Munir anamtembelea Balui chumbani kwake baada ya kurudi nyumbani kutoka hospitalini, akitaka kuhakikisha anapata nguvu na utulivu baada ya yote yaliyotokea Wakiwa kwenye mazungumzo ya faragha, Balui anafunguka kuhusu majuto yake na anamwomba Munir amsaidie kumuomba Karen msamaha