channel logo dark
channel logo dark

Upepo

160TamthiliaPG13

Makanza Watangaza Donge Nono – Upepo

Video23 Decemba

Familia ya Makanza inaingia mbele ya wanahabari na kutangaza donge nono la milioni 60 Lengo ni moja tu — kumpata Fiona, haijalishi kwa gharama gani. Kauli zao zinaacha nchi nzima midomo wazi, huku matumaini na presha vikiongezeka kwa familia Je, donge hili nono litaleta majibu… au litazidisha sintofahamu? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ