Joan anazidi kuvunjika moyo anasema mwanamume aliyemuoa si yule anayemchukulia leo—amekuwa mtu wa kumumiza, kufuata marafiki wengi, na kumpuuza kama mke.
Zaidi ya yote, Joan anahisi historia yake ya maisha, aliyoishiriki kwa upendo na uaminifu, sasa imekuwa kama fimbo ya kumchapia
Je, upendo wao unaweza kurekebishwa? Au majeraha haya ni makubwa kuliko maneno?