maisha magic bongo logo

i Kizela Apambania Penzi – JIVU

Video22 Septemba

Bi Kizela anatumia njia isiyo ya kawaida ili kupata muda na mumewe—anamfunga ili kumsikiliza. Je, mapenzi haya yatavumilia mtihani huu au ndo mwisho wa safari yao?