maisha magic bongo logo

Hekaheka kila kona – Broken Pieces

Video22 Septemba

Mambo yanavurugika kwenye Broken Pieces! Ozan anamwambia Gulsereen hawezi kuvumilia kumuona akiwa na Dilara anataka Cansu arudishwe kwake kwa nguvu! Je, familia hii itavumilia dhoruba hii au ndo mwisho wa kila kitu?