maisha magic bongo logo

Hambe ataka heshima yake kutoka kwa Chola – Mpali

Video17 Novemba

Mambo yanazidi kuchemka kwenye familia ya Hambe! Baada ya mzozo mkali, Hambe anamwambia Chola kuwa amebadilika na hamuheshimu tena. Je, ndoa yao itaendelea kustahimili misukosuko hii?