Tamati ya Safari Yetu – ICUBaada ya safari ndefu iliyojaa umbea wa moto, vicheko, drama, na maswali mengi – hatimaye tumefika mwisho wa ICU. Tunawashukuru kwa kutazama, kuchangia, na kuzungumza nasi kila wiki. Kila tukio limekuwa la kipekee kwa sababu yenu.
Tazama video ya kwaheri tukikumbuka tulipotoka hadi tulipoishia! 
 #MMBICU #FarewellPost