channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Xtra

160VarietyPG13

Husna Bona, Mtangazaji mpya - Harusi Yetu

Video16 Julai

Kila hadithi ina mwanzo. Na huu ni mwanzo wa mwanada Husna Bona mtangazaji mpya wa kipindi cha Harusi Yetu, hakika ni mwanzo mwema . Kwenye msimu huu wa nne wa Kipindi tuna mtangazaji mpya Bi Husna Bona (Mama Shughuli).