channel logo dark
 slim mchikicho new
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Naomba msamaha mume wangu! – Mchikicho wa Pwani

Video22 Mei

Kitamu hakiishi hamu. Msemo huu unashika mizizi kabisa katika swala la mahusiano kati ya waume na wanawake. Je, ni nini kinachoweza kufanya moyo wa mume kukauka mapenzi? Usikose!