channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Tuombe! – Jua Kali

Video12 Juni

Mama yake Maria afika hospitalini kumuona Maria wakati akiwa mahututi. Felix amuhoja baba yake juu ya familia ya Frank na Maria. Wakati Frank amuomba Naira asiseme chochote kuhusu mahusiano yao. Frank awafuma Maria na Thomas hospitalini na Sophia akubali kuolewa na Eddy. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ