channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Fabrizo amvisha pete Sada – Huba

Video
02 Julai

Kibibi amwambia Devi afanye kazi yake kama baba na Fabrizo ampigia simu na Devi ana wasiwasi na mahusiano yao. Hatimaye Fabrizo amvisha pete Sada na Nandy na Yakubu wakutana na Doris na Roy.