channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kofi la Malaika, Vurugu za Tima & Msamaha wa Abby – Huba

Video28 Agosti

Drama inazidi kupamba moto kwenye #Huba Ray akiwa na Nelly anajikuta uso kwa uso na Malaika – kumbe wanajuana! Ila mambo yanageuka ghafla baada ya Malaika kumpiga kofi :flushed:. Wakati huo huo, Tima na Ritha wanashikana koo juu ya watoto wa Tima :exploding_head:. Nelly naye anabaki kusikiliza Abby akimuomba msamaha kwa kutokuwa mume bora. Mapenzi, vuta nikuvute na siri zinapamba moto zaidi! — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ