channel logo dark
Doli slim billboard
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13

Safaria ya Zaitoni na Frnacis-Harusi Yetu

Video24 Oktoba

Leo kwenye #HARUSIYETU , maharusi wetu wawili ni Zaitoni na Francis , walikutana kupitia shemeji wa zaitoni huko Zanzibar.Wamekua na uhusiano kwa miaka mitano kabla kufunga ndoa. Ndini na marafiki ni baina ya changamoto walizopitia. Je ni kweli marafiki wanaweza kujenga na kubomoa mahusiano? Fuatilia safari yao na hatimaye kufunga ndoa leo