Fahad na mkewe Razia wanakutana hospitalini kujadili kuhusu ujauzito unaozua maswali mengi.
Wakati huo, Bi Barke na Zingizi wanajikuta katikati ya tafrani—mpaka Barke anamfyatulia mtu risasi!
Lakini msukosuko hauishii hapo… Chema anapata mshtuko mkubwa kutokana na hali ya ugonjwa wa mumewe Amanzi, na Mchuma anajitokeza kumpa msaada.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ