Baada ya sintofahamu na hasira zilizompelekea Mqhele kumpiga Hlomu, sasa amegundua kosa lake na kuamua kuomba msamaha. Lakini je, msamaha wake unatosha kurejesha imani ya Hlomu?
Ni wakati wa kutafakari, kusamehe... au kuondoka?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ