channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Kuzo Anamkosesha Amani Tombi – Mpali

Video04 Julai

Kuzo amemteka baba mtoto wa Tombi, na kumtaka Tombi akamuone haraka iwezekanavyo kama anataka baba watoto wake awe salama na akishindwa atamuua… Tombi anaitikia wito na hata kwenda kwake hakubadilishi chochote kwani Kuzo anampa bastola na kumuamuru kumua baba mtoto wake. #Mpali #KuzoNaTombi #MpaliDrama #MaishaMagicBongo #ZambeziMagic #MpaliSeason5 — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ