channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Kawia Amsababishia Ajali Mudrick – JIVU

Video18 Oktoba

Kawia anamtembelea Mzee Habibu bila kujua anakaribia kufichuliwa! Fahad, Razia na mtoto wao Mudrick wanaingia ghafla — na muda mfupi baadaye, ajali inatokea! Mudrick anakimbia kwa hofu, bila kujua ukweli mkubwa uliofichwa kuhusu asili yake Je, ajali hii itafunua siri ya familia au kuzidisha majivu ya chuki? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ