channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Anna, mwachie huru Diba kiakili - Jua Kali

Video02 Machi

Anna anakiri kosa lake la kutoifikisha karatasi ya kesi mahakamani. Mbele yake yupo Diba na Davis. Kwa upande mwingine, wawakilishi wa familia ya Diba wamefika nyumbani kwa Profesa kumradhi yeye na mkewe kuzungumza na Anna, binti yao kuhusu kumwachia huru Diba kimapenzi kwa madai kuwa Anna ameikaba moyo na akili ya Diba. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ