Kuanzia tarehe 5 Agosti, tunakuletea filamu mpya kila Jumamosi saa 2 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Movies. Soma hapo chini kwa zaidi
5 Agosti – All for love
Wanandoa ambao ndoa yao inaelekea mashakani, warudishwa nyuma na wapewa changamoto ya kujua ni nini kiliwafanya wapendane.
12 Agosti – My woman
After her son is accused of murder, a determined widow sets out on her own investigations in order to find the true killer.
Baada yam toto wake kushtakiwa kikosa kwa mauaji, mjane aanza uchunguzi wake mwenyewe kumpata muuaji wa kweli.
19 Agosti – Holiday Fiancee
Baada ya mteja mwenye kiburi kupoteza kumbukumbu, mhudumu aliyemhudumia hapo awali huchukua hii kama fursa ya kulipiza kisasi na kujitambulisha kama mchumba wake.
26 Agosti – The Buganda Lions
Katika miaka 1670 ya Ufalme wa Buganda, wana wafalme kumi na watno wanashindana kwa umakini wa baba yao wanaposhindania kiti cha enzi kinachotamaniwa.
Kumbuka kuangalia filamu mpya kila Jumamosi saa 2 usiku na pia fuatilia filamu zote za Kiswahili tokea Tanzania kila Jumatatu na Ijumaa mchana!
Mengine kuhusu Maisha Magic Movies:
