Dida (Chanda)
Dida amekuwa akiingilia ndani ya mahusiano ya mtoto wake Yaz na mke wake Azra kwa uongo wake.
Abby (Huba)
Baada ya kumuongopea Doris, Abby amehamia kwa Nelly. Je ameamua kuwa mweli au bado anaendelea na uongo wake.
Chola (Mpali)
Tangu mtoto wake kuzaliwa, Chola hajakuwa mkweli kuhusu baba mzazi wa mtoto.
Sabufa (Kitimtim)
Baada ya Zunde kurudi, Sabafu amekuwa akigombania penzi la Pili kwa uongo mwingi.
Anita (Jua Kali)
Baada ya kuona kama Thomas hato achana na Maria, Anita alimsingizia Thomas ubakaji.
James (Wimbi)
Maisha ya Tiara bado yapo mikono kwa James juu ya uongo wake.
Endelea kuburudika na vipindi vya #MaishaMagicBongo ndani yam waka mpya!!






