channel logo dark
Wimbi
channel logo dark

Wimbi

160Drama16

Watazamaji wa Maisha Magic Bongo watoa maoni yao kuhusu kipindi kipya cha #MMBWimbi

Habari05 Julai 2023
Kipindi cha Wimbi cha furahisha watazamaji wa Maisha Magic Bongo.
Article

Tangu mwanzo wa kipindi cha #MMBWimbi tarehe 3 Julai, watazamaji wa Maisha Magic Bongo watoa maoni yao kuhusu hiki kipindi:

Baadhi ya maoni ya watazamaji wetu 👇

Kama unataka kuburudika na kipindi cha #MMBWimbi jiunge nasi kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku ndani ya DStv chaneli 160!

Mengine zaidi: