channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Ben amtapeli Brenda – Pazia

Video31 Machi

Brenda agundua kwamba Ben alikuwa akimuibia pesa yake na kwenda kumuhonga Waridi. Miriam atoka knwa Henry and Edu amalizana na Regina. Gloria apania kuvunja mahusiano ya Jemo na Regina kwa kumwambia Regona kwamba mimba ni ya Fredy na Fredy akamatwa na polisi.