channel logo dark
 slim mchikicho new
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Aibu kwenye msiba- Kapuni

Video11 Agosti

Kwenye Kapuni wikii hii, msiba haueleweki! Joyce vs Koku, Nixon achukia baba na uncle, msiba bado mbichi lakini Brown aibu, haeleweki, hata amechosha marafiki. usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumapili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee