channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tima na Ray nyumbani kwa Ritha – Huba

Video18 Septemba

Ray na Tima wanajikuta wamekutana kwa Ritha , wanabaki na mshangao. Lakini tension inaongezeka zaidi pale Tima anapompeleka Chidy hospitali kwa ajili ya matibabu ya afya ya akili . Wakati huo, Kibibi na Roy wakiendelea na mapambano juu ya umiliki wa nyumba.