channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Monde Anapanga Kununua Gari Kisiri – Mpali

Video13 Decemba

Monde anaanza mipango ya kununua gari bila kuwashirikisha wake wenzake. Lakini jambo hilo linapogundulika… wivu, sintofahamu na maswali yanawaka kama moto kwenye nyumba ya Nguzu!