maisha magic bongo logo

Familia Yakasirishwa na Balui kwa Kutoka Out – JIVU

Video04 Novemba

Baada ya mwaka mzima bila kutoka nje, Balui anaamua kupumua kidogo. Lakini badala ya kufurahia uamuzi wake, familia nzima inamgeukia kwa hasira. Mzee Habibu anamfokea vikali, na Balui anajikuta akivunjika moyo Je, familia itamuelewa Balui au watazidisha maumivu yake?