Davis amvaa Thomas, amuonya kuhusu Anna – JuakaliManeno yamefika mwisho
Davis anamkabili Thomas ana kwa ana, akimwonya vikali asirudie tena kumdharau au kumzungumzia vibaya Anna.
Kwa Juakali, mipaka ikivukwa… majibu hayachelewi.
Je, Thomas atasikia onyo au drama ndio inaanza?