channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

'Bidu ulikuwa wapi?' – Pazia

Video19 Februari

Henry amwomba Miriam kuwa mke wake na Eliza aingia kati ya mazungumzo. Bidu aenda bar na kukutana na mwanamke matata. Dk. Love aongezewa suspension wakati akimsahidia Regina kujifanya kama ana mimba. Pia inaonekana kama Henry na Gloria wana siri yao. Wakati, Bidu arudi nyumbani kuulizwa alokuwa wapi. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ