channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Mdoe ataka kuoa tena! – Pazia

Video08 Februari

Fred aomba kuongea na Gloria, na Gloria adhani kwamba anampango wa kumrudisha kwa baba yake. Edu aanza kupoteza akili wakati Chamsia asema kwamba ana mpenda Fred. Waridi agombana na Regina wakati Bidu amwambia Tunu kwamba anatumia pesa nyingi. Mdoe aapa kumuoa Chamsia. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ