Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Je Naira ana mimba? – Jua Kali
Video
11 Machi
Lukas alia juu ya kugundua kwamba Maria ameshakubali kuolewa na mtu mwingine. Sophia amsema Eddy baada ya kujaribu kumtongoza, na Bill ataka kujua kama ana mimba. Kitundu amng'ang'ania Sophia asirudi mtaani na Naira akatazwa kumuoa Bill.
Jisajili kuangalia
Up Next
Mary ataka kuua! – Jua Kali
04 Machi
Vita ya Wafugaji na Wakulima– Jua Kali
18 Februari
”Maria, binti mlokole!” – Jua Kali
04 Februari
Mama Sophia ajaribu kujiua– Jua Kali
14 Januari
Maria ajua ukweli – Jua Kali
07 Januari
Mama Stella afika – Jua Kali
18 Decemba