channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Frank ampa Vivian masharti makali – Jua Kali

Video19 Februari

Proffesa Bill amsisitiza Zai kwamba asimwogope. Vivian amwomba ruhusa Frank, ili aende nyumbani na Deo ampa masharti kwamba akitaka kwenda aende nyumbani kwao lakini Anna amfuma na akasirika. Thomas aenda kijijini kutembelea mama yake na mama yake amwambia habari za mwanae lakini aendelea kumkana mtoto wake.