Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E256
24 Juni 21:30
'S8/E256 of 260'. Sekeseke linaendelea nyumbani kwa Professa hapakaliki, Mipango ya Frank na Thomas inabamba moto, mahus...