Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E128
12 Novemba 21:30
'S8/E128 of 179'. Mitego ya Professa inatiki Mrs Bill anaumbuka, Patrick anakiwasha anamtimua Semeni, Regina na Enzo tum...