channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Nicole Afunguliwa Kesi na Kibibi – Huba

Video16 Oktoba

Mambo yanazidi kuwa moto! Nicole anakabiliwa na kesi nzito kutoka kwa Kibibi huku Rita naye akijikuta kwenye mzozo wa maneno makali! Je, Kibibi atashinda kesi hii au ni mwanzo wa vita mpya kati yake na Nicole?