Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E191
03 Juni 21:00
'S14/E191 of 204'. Simulizi linalotawaliwa na tamaa ya pesa,visasi na uchawi, ulimwengu mbili zikikutana, mapenzi pekee ...