channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Mwili Wapotea Kabla ya Mazishi – Huba

Video13 Decemba

Mazishi yanageuka sintofahamu kubwa pale mwili unapopotea ghafla Familia inazidi kuchanganyikiwa — nani amechukua mwili? Na kwa nini? Kila mmoja anaonekana kuwa na siri yake, na badala ya kupata utulivu wa mazishi… drama inawaka upya . Huba haikosi mishtuko — kila tukio linazua maswali mapya!