channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Maria Anatarajia Mtoto wa Kiume – Jua Kali

Video16 Julai

Zanzibar yachangamka! Maria anapokea habari njema za ujauzito wake – na safari hii ni mtoto wa kiume! Lakini huku furaha ikitawala, maswali kuhusu hatma ya familia na mahusiano yake yanazidi kuibuka. Je, huyu mtoto ataunganisha au kuvunja kabisa kile kilichosalia?