channel logo dark
Mpali
channel logo dark

Mpali

160TamthiliaPG13

Chela Amtaka Hambe Warudi Nyumbani – Mpali

Video22 Decemba

Chela anamfuata Hambe kazini akiwa na hofu kubwa . Anamsihi warudi nyumbani haraka kwani kuna hatari ya wao kukamatwa na polisi . Chela anaogopa kubaki nyumbani peke yake, huku presha ikizidi kila dakika. Je, Hambe atasikiliza onyo hili au wataingia kwenye matatizo makubwa zaidi? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ