Familia ya Bi Barke wanakiri kuwa mpango wao wa kumlazimisha Fahad kumuoa Sada umefeli kabisa . Wanalazimika kuukubali ukweli na kumrudisha Fahad kwao.
Lakini mambo yanageuka kuwa mazito zaidi pale Ajuaje anaanguka na kuzimia.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ