The DStv Tanzania team during the launch of the festive campaign

DStv Tanzania yazindua zawadi maalum ya decoder, kadi na dish kwa shilingi 79,000 tu.

Kampuni inayoongoza kwa burudani barani Afrika, DStv inafuraha kutangaza ofa kabambe kwa msimu huu wa sikukuu!

Shilingi 79,000 shs tu.

Kwa gharama hii mteja atapata Dekoda, Kadi na Dish. Ofa hii ni kwa kila mteja mpya atakaye jiunga na na kulipia kifurushi kimojawapo kati ya Premium, Compact Plus, Compact, Family au kifurushi cha Bomba.

Usiachwe nyuma kwenye offer hii, pata dekoda yako leo kwa kujaza fomu hii:

 

Fill out my online form.

 

DStv tunakupatia zaidi ya chaneli 120 zenye kuburudisha na kukuelimisha wewe na familia yako kwa kipindi chote cha sikukuu.

DStv inaendelea kutoa huduma zenye  ubora wa hali ya juu zikiwemo sinema kali, mfululizo wa tamthilia za kisasa,  makala, michezo, vipindi vya watoto, habari za kitaifa na kimataifa.

DStv ina vifurushi vitano vinavyompa mteja nafasi ya kuchagua aina gani ya huduma anahitaji kulipia, hizi ni pamoja na Premium, Compact Plus, Compact, Family na Bomba. Zaidi DStv inavifurushi vya lugha mbalimbali kama Hindi, Kifaransa na Kireno kuwaburudisha soko la wateja wa lugha mbalimbali na tamaduni tofauti.

Kifurushi cha Bomba kina kupa zaidi ya chaneli 65 kwa gharama nafuu ya shilingi 23,500 tu kwa mwezi

Kwa wale mashabiki wa soka, SuperSport ni sehemu pekee ya kupata soka la kimataifa. Hizi ni pamoja na Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Ligi kuu ya Hispania (La Liga), UEFA Europa League, Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Ligi kuu ya Kenya (KPL), Ligi Kuu ya Nigeria (NPL), Angolan Girabola, Ligi kuu ya Ghana na Ligi ya Mabingwa Africa CAF.

Telemundo na Zee World, ni chaneli zetu maarufu kabisa kwa vipindi za kusisimua toka Hispania na India na zinapatikana katika vifurushi vyote vya  DStv.

Pia tuna chaneli yetu mpya ya kibongo, Maisha Magic Bongo inahusisha vipindi bora vyenye maudhui lugha na tamaduni za Kitanzania, vinavyoandaliwa na watanzania ili kutoa burudani sahihi kwa soko la Tanzania na Afrika kwa ujumla. Channe hii ina Filamu kali kutoka Bongo Muvi, Muziki ukiwemo Bongo Flava, Maisha ya Mastaa na vipindi vya majadiliano ya moja kwa moja, bila kusahau sinema kali za kihindi kutoka Bollywood zilizotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Vyote hivi vizuri tumeviandaa ili kuhakikisha wateja wetu wanapata burudani iliyo bora.

Tunawatakia sikukuu njema.