DStv Explora decoder

Jua mengi muhimu kuhusu DStv Explora

Explora ipo kwenye mfumo wa High definition (HD) yenye uwezo mkubwa wa kuonyesha picha zenye ubora wa hali ya juu na mvuto zaidi.

Chaneli zetu za HD ni kama vile SuperSport 3, SuperSport 5, Discovery, Studio Universal, M-Net Movies Premier HD na nyingine nyingi.

Unaweza nunua Explora kwa Shillingi 281,000 pekee.

Explora inauwezo wa kurekodi vipindi kwa masaa 220, hii ni zaidi ya filamu 100, episode 150, series 10 na mechi 150.

Vipindi ulivyorekodi unauwezo wa kuvipeleka mbele, kurudisha nyuma, kusimamisha kwa muda utakaohitaji kufanya ivyo.

Unaporecord vipindi, Explora inakupa mpangilio maalumu kama kipengele cha filamu zilizorecordiwa pamoja na series na michezo.

DStv Catch Up sasa imeongeza movies na series zikiwa kwenye mgawanyiko wa kila wiki.

Bonyeza hapa kujua zaidi kuhusu Explora na pia kuinunua kama zawadi ya Valentine's Day siku ya 14 February!