UEFA Euro 2016

Shuhudia mechi zote 51 kupitia SuperSport 11 na 12. Wachezaji soka maarufu barani Ulaya wakiwania ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Ulaya 2016. Furahia mechi zote za UEFA Euro 2016 kwenye SuperSport kupitia DStv Compact.

DStv kupitia channel zake maarufu za SuperSport 12 itaonyesha mechi 6 zilizobaki. Mechi zote hizi zitarushwa kwenye kifurushi cha Compact na kwenye muonekano wa HD.

Shuhudia soka lisilo kifani linalotikisa Dunia "Football that shakes the world" wa UEFA EURO 2016. Ni ndani ya kifurushi cha Compact kwa Tsh 84,500 tu kwa mwezi!

Unangoja nini? Juinge na DStv kwa Tsh 79,000*

Tumewasikia, tunawajali. Sasa ni Soka tu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa*

Visit www.supersport.com for the fixtures

Related