DStv,Angola,Billboard,Explora,Promo,August,2015_2500x900px

Jiburudishe kabisa na explora yako

DStv Explora inakupatia burudani kedekede kwenye DStv Catch Up na BoxOffice.

DStv Explora linalokuletea vipindi na sinema kibao, ili kuzipata zaidi kila siku tunakushauri daima usiizime Explora Dekoda yako kwenye umeme. 

Hata kama ni usiku, ili kuruhusu vipindi vipya vya kuvutia kupakuliwa.

Filamu na vipindi vyote vipya kwenye DStv Catch Up na BoxOffice mara nyingi zinapakuliwa usiku, na tungependa kila siku uwe unapata vipindi vipya vya kutazama.

Hebu fikiria kama rafiki zako wakijadili kiasi gani walifurahia filamu mpya Chocolate City kwenye  BoxOffice wakati kwako hujaipata na unatumia DStv Explora?

Au wana hamu yakuangalia  kipindi kipya kilichoingia kwenye DStv Catch Up , mfano The Book of Negroes wakati wewe hufahamu lolote?

Ili usipitwe na vyote hivi, hakikisha dekoda yako ya Explora hauzimi kwenye umeme kuendelea kuburudika na vipindi zote kabambe tunazokuletea ndani ya  DStv Catch Up na Box Office.

Kuanza kufurahia burudani hizi wiki hii, jiunge na DStv Explora sasa.

 

Fill out my online form.