The Premier League trophy

Kati ya Chelsea na Liverpool, ni nani mabingwa wa soka? Ni swali wanalouliza mashabiki wengi ijapokuwa Chelsea watakuwa nyumbani Stamford Bridge wakipokea Liverpool wikendi hii. Kama tulivyokuletea Manchester derby, sasa tunakuletea mchuano huu baina ya mabingwa hawa wawili moja kwa moja kupitia SuperSport11 ndani ya DStv Compact siku ya Ijumaa 16 September saa 21:00 jioni.

Pata DStv Compact kwa TZS 84, 500 tu.

Na si hayo tu SuperSport itakuletea hii wikendi. Pia Hull City itakutana na Arsenal siku ya Jumamosi 17 September huku mabingwa watetezi Leicester City wakipambana na Burnley.

Pata ratiba ya mechi hizi zote hapa.

Je, wachambuzi wa soka wana maoni yapi kuhusu michuano hii ya wikendi? Kutana naye Maulid Kitenge, Edo Kumwembe na Oscar Oscar wakikuletea uchambuzi wa soka kwenye video hii:

 

Na wewe kama shabiki wa soka ya Ligi Kuu ya Uingereza mbona ukose michezo hii ndani ya DStv? Kama tayari hauna dekoda ya DStv, jaza fomu hii na tutakupigia simu ndani ya masaa 48 upate dekoda kwa urahisi: