Joh Makini

Joh Makini adakua kuhusu kolabo yake na Davido

1.  Kama ulikua hujui, Davido alidata na perfomance ya Joh Makini kwenye Fiesta ikabidi aulize huyu ni nani? Baada ya hapo ndio akaanza kumfuatilia Joh Makini.
 

2. Joh Makini hakuwa ameplan kufanya kolabo na Davido, baada ya kuona Davido ametambua uwepo wa Joh, Joh ilibidi ajiongeze hivyo akamchek kwenye namba yake ya simu baada ya kupewa, wakaandikiana kuhusu siku moja kuja kufanya kolabo, ghafla jioni yake Davido akapost kuhusu kolabo yake na Joh kufata.

Ukiisubiri video ya kolabo ya Davido na Joh Makini, pia unaweza kusikiliza hits zingine za Joh Makini kwenye Mzooka kwenye Maisha Magic Bongo (160), Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00.

 
3.Baadae pia Joh Makini alipokwenda kuona kwenye DM Instagram akakuta kumbe Davido alimuandikia Joh happy birthday lakini hakuwa ameona.
 
4. Baada ya siku kama tatu ilibidi Joh Makini amtumie beat na idea kazi ya kurekodi kolabo ikaanza.
 
5. Kwa sasa audio iko tayari imesharekodiwa, Joh hajataka kusema anaitoa lini lakini anasema Davido kapiga chorus kali sana na mistari ya Kiswahili.
 
Kwa muziki murua kutoka Afrika Mashariki, usikose kuitazama Mzooka, Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00 kwenye Maisha Magic Bongo (160). Na ikibamba sana pia unaweza kuchezesha tena au kurekodi kwenye DStv Explora yako. Jaza fomu hii kupata Explora yako kwa bei nafuu:

 

Fill out my online form.