Manchester United players

Mashabiki wa Arsenal mpo! Wa Manchester United je? Ni wikendi nyingine ambapo DStv Compact kupitia SuperSport 11 inakuletea mchuano kali baina ya timu hizi mbili ambazo ni wapinzani wa soka kwa miaka mingi sasa.

Mechi hii inakujia siku ya Jumamosi 19 Novemba saa 14:30 CAT ndani ya SuperSport, Ulimwengu ya Mabingwa.

Pata kifurushi cha DStv Compact kwa bei iliyopunguzwa ya TZS 82, 250 tu.

Kulingana na ratiba ya soka wikendi hii, Liverpool pia itamenyana na Southampton Jumamosi hiyo saa 17:00 CAT huku Middlesborough ikiwapokea Chelsea siku ya Jumapili saa 18:00 CAT.

Kwa sasa kutana na wachambuzi wa soka kwa Kiswahili Ephraim Kibonde na Edo Kumwembe. Yapi maoni yao kuhusu mechi hii ya Arsenal na Man United? Wasikilize

 

 

Uko tayari kushangilia timu yako? Ungana nasi ndani ya DStv Compact hapa na pia kama hauna DStv dekoda tutukuhudumia. Tunashangiliaga, hainaga shobo!