Manchester City

Baada ya ushindi wao dhidi ya Everton Jumanne wiki hii, timu ya North London Arsenal sasa watapokewa na Manchester City nyumbani kwao Etihad Stadium. Kama walivyosema wachambuzi wa soka, mechi hii haitakuwa rahisi kwa sababu timu zote mbili zitang'ang'ania alamu zao tatu.

Kama ilivyo desturi, DStv Compact itakuletea mchuano huu baina ya Man City na Arsenal moja kwa moja kupitia SuperSport 11, siku ya Jumapili 18 December saa 18:00 CAT.

Pata kifurushi cha DStv Compact kwa bei iliyopunguzwa ya TZS 82, 250 tu

Mbali na mechi hii ya mabingwa, West Brom pia itawapokea Manchester United Jumamosi saa 19:30 huku waongozi wa Ligi Kuu kwa sasa Chelsea wakikutana na Crystal Palace Jumamosi hiyo hiyo saa 14:30 CAT. Yote ndani ya SuperSport, Ulimwengu wa Mabingwa.

Pata ratiba ya mechi hizi zote hapa.

Wachambuzi wetu wa soka kwa Kiswahili Maulid Kitenge na Oscar Oscar wanakuletea maoni yao kuhusu mechi hii ya wikendi. Wasikilize:

 

Usiachwe nyuma, ungana nasi ndani ya DStv Compact hapa na pia kama hauna DStv dekoda tutukuhudumia. Tunashangiliaga, hainaga shobo!