Msanii wa Nigeria Tekno Miles

Staa wa muziki kutoka Nigeria Tekno Miles amekutana na mic ya DStv.com alipokuja Tanzania na kukubali kujibu maswali yafuatayo.

Ni kweli kwamba una mpango wa kufanya kolabo zaidi ya moja na mastaa wa bongofleva Tanzania? Tekno kajibu, "Yes ni kweli, Diamond ni my favourate artist kutoka Tanzania na alinipokea vizuri sana toka siku ya kwanza."
 
Diamond Platnumz ni favourite ya watu wengi, basi burudika naye kwenye Mzooka kwenye Maisha Magic Bongo (160), Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00.
 
Tekno anaendelea kwa kusema, "Kazi za kusubiria zipo na mastaa wa bongofleva, nina kazi na Madee, Vanessa Mdee na wengine kadhaa so Watanzania wazisubirie tu."
 
Pia ameiambia DStv.com kwamba anatarajia kuja Tanzania kushoot video yake mpya ambayo anaamini ataifanyia Zanzibar.
 
Tekno ametaja jina la wimbo wa hiyo video atakayokuja kuifanya Zanzibar kuwa ni Where na utatoka soon Mungu akijalia.
 
Ukiburudika na Mzooka kwenye Maisha Magic Bongo pia unaweza kuitazama vipindi kem kem kwenye Catch Up kwenye DStv Now ama Explora yako. Jaza fomu hii kupata Explora yako kwa urahisi:
 
Fill out my online form.