Manchester City v Manchester United

Hii wikendi, msimu wa soka unaendelea kwenye DStv Compact moja kwa moja kupitia channel ya SuperSport 11 pale ambapo Manchester United itakutana na Manchester City kwenye mchuano kubwa ya Manchester Derby, Jumamosi 10 September saa 14:30.

Na wewe kama shabiki wa soka, hakikisha umeilipia DStv yako kifurushi ya Compact inayogharamia TZS 84 500.

Kama tunavyosema, hainaga shobo, tunashangiliaga. Basi tazama hii video hapa chini upate uhondo kutoka kwa wachambuzi wa soka Ephraim Kibonde na Saidi Tuli wakiiongelea Manchester Derby.

 

Kama hauna dekoda ya DStv, basi jaza fomu hii na tutakupigia simu ndani ya masaa 48 upate dekoda kwa urahisi: