Comedian na ambassador wa DStv Bomba Joti kutoka Tanzania

Kutana na Joti comedian kutokea Tanzania lakini pia amepata shavu la kuwa balozi wa DStv Bomba Tanzania.
 
 
Pia kama bado hauna dekoda ya DStv, sasa waweza kupata dekoda yako kwa bei iliyopunguzwa kwenye Bongoshop. Tembelea Bongoshop hapa na utapata usaidizi kwa urahisi.
 
Joti ameongelea vitu vingi kama ufafanuzi juu ya package ya DStv Bomba, chakula anachopenda na pia juu ya industry ya comedy Tanzania na nini mtazamao wake juu ya watu wenye kipaji kama chake. Msikilize: